Tuesday, May 14, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MCHUNGAJI DKT. MATHEW BYAMUNGU NA MKEWE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


PENDEKEZO BINAFSI LA MBUNGE KUHUSU KUZUIA UNYONYAJI DHIDI YA WASANII WA TANZANIA KATIKA BIASHARA YA MIITO (RING BACK TONES)

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA MAENDELEO YA KILIMO BARANI AFRIKA

Redd's Miss Ubungo 2013

WANYWAJI WAPINGA VIROBA KUPIGWA MARUFUKU

TIMU YA MWISHO KUTOKA AFRIKA MASHARIKI YASAKA NAFASI YA KUFUZU KUINGIA NUSU FAINALI YA GFC

Wilaya ya Rombo Kutumia Nyuki Kupambana na Tembo Wavamizi

MAOFISA WA JESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI GHANA WATEMBELEA TBL DAR

Roberto Mancini sacked as Manchester City manager

Roberto Mancini has been sacked as Manchester City manager after three-and-a-half years at the helm. A statement said  he "had failed to achieve any of the club's targets, with the exception of qualification for next season's Champions League".

Best Premier League win percentage (20+ matches)


Games Won Win %
Jose Mourinho
120
85
70.83
Sir Alex Ferguson
809
528
65.27
Carlo Ancelotti
76
48
63.16
Roberto Mancini
133
82
61.65
Arsene Wenger
636
366
57.55
Rafael Benitez
253
140
55.34
Source: Opta 

Assistant Brian Kidd will take charge for the final two games of the season and the summer tour to America. Malaga's Chilean coach Manuel Pellegrini has been strongly tipped to replace Mancini. 
On Sunday night 59-year-old Pellegrini, who spent one season in charge at Real Madrid in 2009-10, insisted he was not about to become the new City boss.
"I deny here and now being the new coach of Manchester City, I haven't signed any agreement with anybody," he said after Malaga's goalless Primera Division draw with Sevilla. 
City thanked Mancini for the job he had done, with chairman Khaldoon Al Mubarak saying: "Roberto's record speaks for itself, he secured the love and respect of fans. 
"He has done as he promised and delivered silverware and success."
City added in their statement that it was "a difficult decision", explaining it was "the outcome of a planned end of season review process that has been brought forward in light of recent speculation." 
The 48-year-old Italian replaced Mark Hughes in December 2009, winning the FA Cup in 2011 and City's first top-flight league title for 44 years in 2012 - a year to the day before his sacking.

Roberto Mancini record

But this term, City are a distant second to champions Manchester United, went out in the Champions League group stages and lost the FA Cup final to Wigan. 
However, besides on-the-field performance, the club's statement also suggested that there were other reasons to make the change. 
The statement said: "[Failure to achieve targets] combined with an identified need to develop a holistic approach to all aspects of football at the club, has meant that the decision has been taken to find a new manager for the 2013-14 season and beyond." 
BBC Radio 5 live senior football reporter Ian Dennis said that the reference to the 'holistic approach' of the club was crucial to Mancini's departure. 
"What has gone against him is his man-management style," said Dennis. 
"It is other issues other than performance which have undermined him. When you look at the flashpoints that Mancini has had this season that gives you an indication of the difference in holistic approach that City are looking for." 
Mancini was critical of Manchester City officials for failing to deny the newspaper reports that surfaced on the morning of Saturday's FA Cup final stating he would be sacked and replaced by Pellegrini. 
City were beaten by Ben Watson's 90th-minute header at Wembley as Wigan, struggling to avoid relegation from the Premier League in 18th place, became the lowest ranked team to win the FA Cup since West Ham in 1980. 
City thrashed rivals United 6-1 at Old Trafford in October 2011 en route to their first Premier League title and although they beat them again on their home ground this season, Sir Alex Ferguson's team wrapped up their 20th league crown last month with four matches remaining. 
Mancini's record in the Champions League has also come under scrutiny. 
The furthest he has been in Europe's elite competition is the quarter-finals, with Inter Milan, and City have been eliminated in the group stages of both their campaigns during his reign. 
Having finished third behind Bayern Munich and Napoli in 2011 they again failed to qualify this term, winning none of their six matches in a formidable group that also contained Borussia Dortmund, Real Madrid and Ajax. 
Their tally of three points was the lowest by an English side in the group stage of the competition.

Monday, May 6, 2013

CHUO KIKUU CHA KIMATAIFA VIRGINIA (VIU) CHATOA UNAFUU KWA WANAFUNZI WA KITANZANIA WATAKAOJIUNGA NA CHUO HICHO


Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma LEO

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONANA NA UJUMBE KUTOKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII.

Maonesho ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuanza Tarehe 13.05.2013 hadi 18.05.2013 Mkoani Dodoma.

Afisa Uhusiano Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Sarah  Kibonde Msika akitoa neno la ukaribisho kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam ili kutoa taarifa ya wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma. 
 Afisa Mahusiano wa PSPF Fatma Eliharid kifuatilia mkutano kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma. 
  Mkurugenzi  Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka  akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma na kusititiza wananchi wajitokeze kwa wingi.
 Mkutano ukiwa Unaendelea

MLIPUKO WA BOMU ARUSHA:Raia wa wanne wa Saudi Arabia washikiliwa na Polisi Arusha.

MAKAMU WA RAIS DKT. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA

TANZANIA KUUNGANA NA KENYA NUSU FAINALI

Zantel yazindua promosheni ya ‘Kwangua na Ushinde’ kwa wateja wa Zanzibar

Tiketi za sherehe za kuadhimisha miaka 13 ya muziki wa Lady Jaydee zimeshaanza kuuzwa mtaani

Tiketi za sherehe za kuadhimisha miaka 13 ya muziki wa Lady Jaydee zimeshaanza kuuzwa mtaani na huo hapo juu na chini ndio mfano wa jinsi zilivyo ambapo ya juu ni ile ya VIP itakayokuwezesha kupata chakula, nakala ya CD pamoja na huduma maalum ya kinywaji cha kuanzia

Hii hapa chini ni ya kawaida itakayokuwezesha kushiriki onesho, na kushuhudia burudani lukuki zitakazoongizwa na Profesa Jay, TID, Matonya, Grace Matata pamoja na Lady Jaydee mwenyewe na Machozi Band itaonekana jukwaani live siku hiyo.

Tiketi zinapatikaka Shear Illusions-Mlimani City, BM BarberShops-Kinondoni, City Sports Lounge-City Centre, American Nails-Kinondoni, Nyumbani Lounge-Tranic Plaza, na katika Bar za Samaki samaki