Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni 26, 2013.
Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya
kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
kuwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati ii, mara baada ya kuwasili
kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, leo
Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Patnership',
unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati. Picha na
OMR.
Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard Membe Receives copies of Credence from Designate Ambassador of Trinidad and Tobago
Hon. Bernard K.
Membe says goodbye to Designate Ambassador Patrick Edward of Trinidad
and Tobago at the end of their discussion.
Hon. Bernard K.
Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation
welcomes Designate Ambassador Patrick Edward of Trinidad and Tobago to
the United Republic of Tanzania with offices in Kampala, Uganda.
Hon. Bernard K.
Membe receives copies of Credence from the Designate Ambassador Edward
of Trinidad and Tobago, earlier today in his office in Dar es Salaam.
Ambassador Designate Edward explaining
gas programs his country has during his discussion with Hon. Membe (not
in the photo), earlier today.
Minister Membe explains something during his discussion with Designate Ambassador Edward of Trinidad and Tobago.
Minister
Membe in a
discussion with Designate Ambassador Edward of Trinidad and Tobago.
Also in the photo is Ms. Agnes, Foreign Service Officer in the Ministry
of Foreign Affairs and International Co-operation.All photos by Tagie
Daisy Mwakawago -Ministry of Foreign Affairs and International
Cooperation
TIGO KUFANYA TAMASHA KUBWA LA KABANG JUMAPILI HII NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA
Meneja Chapa wa Tigo
Tanzania Bw. William Mpinga akiongea na waandishi wa habari kuhusu tamasha
kubwa la Tigo Mini Kabaang litakalofanyika siku ya jumapili hii bure kabisa
katika viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza, kushoto msanii Diamond
Platnumz na kulia msanii Madee ambao watatoa shoo siku hiyo na wasanii wengine.
Msanii wa bongo flava Diamond
Platnumz akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tamasha
kubwa la Tigo Mini Kabaang litalofanyika mjini Mwanza siku ya jumapili pembeni
yake Meneja Chapa wa Tigo Tanzania Bw. William Mpinga.
Msanii Madee akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang
litalofanyika mjini Mwanza siku ya jumapili pembeni yake ni Meneja Chapa wa
Tigo Tanzania Bw. William Mpinga na Diamond Platnumz .
Msanii Richie Mavoko akizungumza
na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu tamasha kubwa la Tigo Mini Kabaang litalofanyika mjini Mwanza siku
ya jumapili kulia kwake ni Msanii Madee, meneja wa Tigo Bw. William
Mpinga na Diamond Platnumz.
Wasanii Diamond Platinumz, Madee wa Tip Top na Richie Mavoko katika picha ya
pamoja na Meneja Chapa wa Tigo Bw. William Mpinga. Wasanii wengine watakaokuwepo ni
Fid Q, Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki,
Recho na Kazi Kwanza.
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Tamasha
la Tigo Mini Kabaang kufanyika jijini Mwanza
Dar
es Salaam, Juni 26, 2013 – Msanii Bora wa mwaka Diamond
Platnumz, Fid Q na wasanii wengine sita wanatarijiwa kupagawisha mashabiki
zaidi ya elfu sitini katika tamasha la Tigo Mini Kabaang litakayofanyika jijini
Mwanza (Rock city) Jumapili hii ya Juni 30.
Akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu tamasha hilo, Meneja wa Chapa wa Tigo Bw. William
Mpinga alisema kwamba lengo la tamasha hilo ni kujenga mahusiano ya karibu na
wateja wao kwa kutumia sanaa ya muziki kama
njia ya kutangaza huduma za Tigo na bidhaa zake za vifurushi kwa wateja wengi
zaidi.
“Tunaamini kwamba tamasha
hili litajenga mazingira mazuri yakufanya kampuni na wateja wetu kuelewana
zaidi. Mwisho wa siku tunatarajia wateja
wetu kujumuika nasi, kupata burudani yakutosha na kuelimishwa zaidi kuhusu
huduma zetu mbali mbali zenye ubora na unafuu kama Mini Kabaang,” alisema
Mpinga.
Mini Kabaang inatoa muda
wa maongezi wa dakika 20 za bure, 50MB ya kifurushi cha intaneti, pamoja na
ujumbe mfupi 100 kwa shilingi 475 tu kwa siku.
Mkutano huo wa
waandishi wa habari pia ulihudhuriwa na wasanii wakubwa kama Madee wa Tip Top,
Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki, Richi Mavoko, Recho, Kazi Kwanza, Diamond Platnumz
na Fid Q, ambao ndio wasanii wa Bongo Fleva watakaopamba siku hiyo ya Jumamosi katika
viwanja vya CCM Kirumba kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 12 jioni.
“Mimi pamoja na wasanii
wenzangu tunayo furaha kubwa kushiriki katika tamasha la Tigo Mini Kabaang
litakalofanyika jijini Mwanza, hakika watu wa Rock city ni washabiki wakubwa wa
muziki wetu, na tunatarajia kwenda kuwapa burudani ya kutosha,” alieleza Diamond
Platnumz alipoulizwa kuhusu tamasha hilo.
“Binafsi nina furaha
yakipekee kufanya tamasha langu la kwanza la wazi jijini Mwanza. Naamini hao mashabiki
elfu sitini na zaidi wataonyesha mapenzi
ya dhati kwa muziki wangu. Ninahamu sana ya kufika na kufanya tamasha hii,”
aliongeza super staa huyo.
“Tamasha hili la Tigo
Mwanza Mini Kabaang pia litawapa fursa mashabiki kujishindia zawadi mbali mbali
kama vile simu, vocha, fulana za nembo ya Tigo na nyingine nyingi. Hakutakuwa
na kiingilio siku hiyo, tunapenda kuwakaribisha kila mteja wa Tigo na mshabiki
wa bongo fleva kujumuika na kushiriki nasi,” aliongezea Mpinga.
“MINI KABAANG” ni kifurushi cha siku ambacho mteja akijiunga anapata
dakika 20 za muda wa maongezi ambazo anaweza kuzitumia kupiga simu kwenda
mtandao wowote ule, pia anapata kifurushi cha 50MB ya intaneti na kuweza kutuma
ujumbe mfupi 100 kwa mtandao wowote. Kutumia kifurushi hiki mteja anabidi apige
namba *148*01#.
Huduma hii inapatikana kwa wateja wote wa Tigo kwa gharama nafuu ya shilingi
475 tu kwa siku.
Tamasha za Mini Kabaang ni mfululizo wa maonyesho ya muziki
yanayoandaliwa na Tigo, yamekwisha fanyika Morogoro, Moshi na sasa Mwanza. Mikoa
mengine itakayofuata ni Mbeya, Dodoma na mikoa mingine.
KUHUSU
TIGO:
Tigo
ni mtandao wa kwanza wa simu za mkononi nchini Tanzania. Ilianza shughuli mwaka
1994 na inapatikana katika mikoa ishirini na sita (26)
Tanzania
bara na visiwani.
Lengo
la Tigo ni kuwa mtandao unaoongoza kwa kutoa huduma bora na za ubunifu Tanzania
kwa wateja wake wote ambazo zinaendana na mahitaji yao kuanzia huduma za sauti
za bei nafuu, vifurushi vya intaneti vyenye kasi kubwa na huduma bora za fedha
za simu za mkononi kupitia Tigo Pesa.
Tigo
ni sehemu ya kampuni kubwa ya <http://www.millicom.com/>
Millicom
International
Cellular S.A (MIC) ambayo ni ya unafuu wa huduma na inapatikana kirahisi kwa zaidi ya wateja milioni 43 katika masoko
13 barani
Afrika
na Amerika ya Kusini.
"Tabasamu upo na Tigo"
Kwa
maelezo zaidi wasiliana na:
Amani Nkurlu – Meneja Mahusiano
+255 658 870 107 au +255 712 223 839
mbaroni kwa tuhuma za kutaka kuua kwa kutumia ushirikina.
Mtuhumiwa akiwa ndani ya chumba cha mganga na Mganga wake aitwae Yahaya tayari kwa kufanya mambo ya kishirikina.
Mama
mmoja pichani juu ajulilikanae kwa jina la Magreth Simon Nkwera,
amekamatwa kwa Mganga wa kienyeji akijaribu kutekeleza jaribio
la kutaka kuwauwa baadhi ya watoto wa mumewe na baadhi ya ndugu zake
huko kibaha maili moja mkoani Pwani na hivi sasa yupo katika kituo cha
polisi Maili moja akisubiri kupandishwa kizimbani.
Mtuhumiwa huyo akiwa ndani ya gari la polisi baada ya kukamatwa akiwa na huyo Mganga wa Kienyeji.
Mtuhumiwa
ambaye ni mfanyakazi wa shirika la Nyumbu kibaha mkoani Pwani,akiwa
anahojiwa na mzee wa ukoo wa Shirima,Afisa polisi jeshi daraja la Kwanza
(woii mstaafu) Joseph Shirima mara baada ya kumkamata live kwa
sangoma.Habari hii imetolewa na mwenyekiti wa ukoo wa shirima bwana Godilisten Hendrick Shirima.
KUMBUKUMBU ZA SIKU YA 40 YA MSIBA WA BABY SHANGAZI HOTEL MBEYA
FAMILIA
YA ZAINABU ABEID ALLY (BABY SHANGAZI HOTELI) YA MBEYA INAPENDA KUCHUKUA
FURSA HII KUMKUMBUKA MAMA YAO MPENDWA ALIYEFARIKI USIKU WA TAREHE
5-06-2013 KATIKA HOSPITALI YA RUFAA
JIJINI MBEYA NA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 6.06.2013.
JIJINI MBEYA NA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 6.06.2013.
WATOTO
WAKO POSTER, MABRUCK, ASHA, HAWA, HUSSEIN, HASIRA NA ABEID WANAUNGANA
NA NDUGU NA JAMAA WALIOJITOLEA KWA HALI NA MALI KUHAKIKISHA MAMA YAO
MPENDWA ANAPATA KILA AINA YA MSAADA ULIOKUWA UNAHITAJI MPAKA PALE
MWENYEZI MUNGU ALIPOCHUKUA ROHO YAKE.
KUMBUKUMBU
YA KUTIMIZA SIKU YA 40 BAADA YA KIFO CHA MAMA YETU INATARAJIWA
KUFANYIKA NYUMBANI KWAKE MAREHEMU MBEYA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE
6.07.2013 WOTE MNAKARIBISHWA.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI.
AHSANTENI SANA
SHUKRANI
MARIETHA NJIMBA (MRS. MZEE
MFAUME)
Familia
ya MZEE MFAUME na Wazazi Bw & Bibi CLAUDE NJIMBA wa Kinyerezi na Tabata Dar
es salaam wanapenda kutoa Shukrani kwa wote walioshiriki katika msiba wa mpendwa wao MARIETHA NJIMBA (MRS. MFAUME)
kilichotokea tarehe 29/05/2013 na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni tarehe
01/06/2013.
Shukrani za pekee tunazipeleka kwa Uongozi na wafanyakazi
wote wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dr Kisanga, Dr Mary,
wauguzi wa Burhan Hospital, Mapadre na Waumini wa Parokia Katoliki ya Kinyerezi,
Kristu Mfalme – Tabata, Majirani, Ndugu,
Jamaa na Marafiki wote kwa jinsi mlivyoshirikiana nasi katika msiba huo.
Sio rahisi kuwataja kwa majina wote walioshiriki nasi. Tunaomba mzipokee
shukrani zetu kwa waraka huu.
Shukrani za kumaliza msiba huo zitafanyika nyumbani kwake
Kinyerezi, siku ya Jumamosi tarehe 06/07/2013 kuanzia 02 asubuhi kwa Ibada ya
Misa Takatifu nyumbani kwa Marehemu. Tunawakalibisha wote.
BWANA AMETOA NA
BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
MHE. ALI HASSAN MWINYI MGENI RASMI, MASANJA, SHILOLE KUFANYA MAKAMUZI MIAKA 3 YA VIJIMAMBO NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI MAREKANI
Blog ya Vijimambo ikishirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Washington, DC, Marekani na
Jumuiya ya Watanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia
wanapanga kusherehekea miaka 3 ya Vijimambo na kukuletea tamasha la
kiswahili. Tamasha hili ni kuendeleza lugha na utamaduni wa Kiswahili
hapa Marekani ili watoto wanaoishi huku waweze kuendeleza matumizi ya
lugha hii na utamaduni wake kizazi hadi kizazi.
Siku ya July 6, 2013 hapa DMV kwenye Hall la Hampton Conference Center lililopo
207 w Hampton Pl,
Capitol Height, MD
Mambo
mengi yatakayokuwepo ni Vikundi mbalimbali vya utamaduni, wanamitindo
wa mavazi mbalimbali kuwakilisha, vyakula vya Kitanzania, Wasanii kutoka
nyumbani ambao ni Shilole na Masanja Mkandamizaji wakishirikiana na wa
hapa Marekani yote hayo ni kudumisha utamaduni wetu wa kiswahili
HOTEL KWA WAGENI
Tumeongeza vyumba 35 Hotel ya Country Inn & Suites
Na unapopiga simu uliza SWAHILI CULTURE IN USA kusudi upate unafuu wa bei nambari ya simu ni 301 350 8088 na Address ni
8850 Hampton Malls Drive North
Capitol Heights, MD 20843
Hotel za jirani na hapa ni
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600
Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139
Hampton Inn
9421 Largo Dr West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 499 4600
Extended Stay American
9401 Largo Drive West,
Largo, MD 20774
simu ni 301 3339139
Confort Inn
56 Hampton Park Blvd
Capitol Heghts, MD20743
Simu ni 301 336 8900
Muda wa watoto ni kati ya 10:00 am - 5:00 pm:
Kuanzia 7:00 pm- 3:00 am ni kwa watu wazima tu.
MAVAZI
10:00 am - 5:00 pm Vazi la Kitanzania
7:00 pm - 3:00 am Vazi lolote lakini uwe umependeza
BURUDANI ZOTE NI KATI YA 10:00 AM - 5:00 PM
USIKU NI CHAKULA NA MUZIKI WA DISKO TU.
Chakula cha mchana Kuanzia kifungua kinywa na vinywaji vitauzwa muda wote iDinner peke yake ndio itakayokua Free.
Tafadhali zingatia muda. Rais Mustahafu Ali Hassan Mwinyi ataingia ukumbini 10:30 am
KARIBU
Rais Kikwete alipowasili mjini Dodoma
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya
kuongoza kikao cha kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri.
Rais
Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma juni 25, 2013 kwa ajili ya
kikao cha Kamati Kuu ya CCM na Baraza la Mawaziri . Kulia ni Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu).
Zawose kupiga shoo Bagamoyo
MSANII
wa nyimbo za asali za utamaduni wa Kigogo ambaye anatamba ndani na nje
ya Tanzania, Msafiri Zawose, anatarajia kupiga shoo ya aina yake maalum
ya kuchangia kituo cha AMAP Juni 28, katika mgahawa wa PoaPoa uliopo
mjini hapa.
Akizungumza
jana Zawose ambaye ni mtoto wa marehemu Hukwe Zawose aliyerithi
kipaji cha baba yake kwa kuendeleza utamaduni wa kabila hilo la Wagogo,
alisema maandalizi ya shoo hiyo yamekamilika na tayari tiketi zimeanza
kuuzwa.
"Wadau
wajitokeze kwa wingi kwenye shoo yetu maalum ya kusaidia kituo cha
AMAP kwa ajiri ya kuwasaidi watoto wasio jiweza kulipa ada zao za shule"
alisema Zawose.
Na
kuongeza kuwa mbali na burudani ya muziki pia kutakua na maonesho ya
bidhaa mbalimbali sambamba na chakula cha tanzania kilichochanganya na
usasa.
"Nyimbo ni kama asili yangu, kuna vibao kama Ilima, Mahera na vingine vingi"alimalizia Zawose.
kubainisha kuwa, burudani hiyo itatolewa na yeyey kwa pamoja na bendi yake hiyo ya Sauti Band.
Kwa
upande wake Hannah Nelson wa walioandaa shoo hiyo alisema tiketi
zinapatikana katika mgahawa huo wa Poa Poa kwa bei tsh 15,000, huku
siku ya tukio Juni 28, mlangoni itakuwa tsh 20,000 ambapo kiingilio
hicho kinajumuisha na chakula.
"Tiketi zinapatikana Poa Poa Restaurant, karibiuni sana katika shoo hii ambayo ni maalum kuchangia elimu" alisema Annah.
Shoo hiyo inatarajia kuanza majira ya saa 12 jioni hadi saa Sita usiku.
Kituo
hicho cha AMAP (Africa Modern Art Project) kinajishughulisha na
shughuli za sanaa mjini hapa na pia kinasomesha watoto wadogo.
Obama should urge promotion of free press in Tanzania
June 25, 2013
His Excellency Barack Obama
President of the United States of America
White House
Via facsimile: +1 202-456-2461
Dear President Obama:
CC List:
H.E. Jakaya Kikwete, President of Tanzania
H.E. Mwanaidi S. Maajar, Ambassador of Tanzania to the United States of America
H.E. Alfonso E. Lenhardt, Ambassador of the United States of America to the Republic of Tanzania
Filiberto Ceriani Sebregondi, Head of the Delegation of European Union to the Republic of Tanzania
John Kerry, Secretary of State for the United States of America
Linda Thomas-Greenfield, Assistant Secretary for African Affairs for the United States of America
Dr. Fenella Mukandara, Minister of Information of the Republic of Tanzania
Pansy Tlakula, Special Rapporteur on Freedom of Expression and Access to Information, African Commission on Human and Peoples' Rights
Reginald Mengi, Chairman of the Media Association of Tanzania
Dr. Jeffrey Ashley, USAID / East Africa Mission Director
Kajubi Mukajanga, Executive Secretary of the Media Council of Tanzania
Mohamed Tibanyendera, Chairman of the Media Institute of Southern Africa, Tanzania
Ernest Sungura, Executive Director of the Tanzania Media Fund
His Excellency Barack Obama
President of the United States of America
White House
Via facsimile: +1 202-456-2461
Dear President Obama:
Ahead of your first trip to East Africa, we would like
to bring to your attention the deteriorating state of press freedom in Tanzania.
In your meetings with Tanzanian President Jakaya Kikwete, we ask that you
discuss the critical importance of press freedom to economic development and
democracy.
In the past year, CPJ has documented a rise in threats
and attacks against journalists in Tanzania. In September 2012, CPJ documented
the first work-related journalist killing in the country since we began keeping
detailed records in 1992. Police shot at point-blank range Daudi Mwangosi,
reporter for TV Channel 10, after the journalist confronted them over the
arrest of another reporter. A junior officer was arrested, but several other
officers seen as being involved have not been held accountable. Another
journalist, Issa Ngumba, was found dead from gunshot wounds in January. CPJ is
investigating to determine if the murder was related to his coverage of local
farming issues. No one has been arrested.
In addition, several journalists have been attacked in
connection with their work. In March, unknown assailants attacked
Absalom Kibanda, chairman of Tanzanian Editor's Forum and managing editor of
the New
Habari media company, leaving the critical columnist with severe
injuries. No one has been arrested. Local
journalists also said they have often been threatened by officials and
high-ranking businessmen via text messages, emails, or intermediaries.
Reporters based outside the capital, Dar es Salaam, are often targeted, the
sources said.
This new trend of attacks against the press in
Tanzania occurs against a backdrop of restrictive anti-press laws. One of them,
the 1976 Newspaper Act, which allows the information minister discretionary
powers to suspend publications, was used to ban
the leading independent weekly Mwanahalisi
in July 2012. The constitution includes at least 16 other anti-press laws
that have induced journalists to practice self-censorship, our research shows.
Tanzanian authorities said they would present a new
press bill this year that would eliminate legislation that censors or restricts
the press. But the contents of the bill
have been kept from the public, and local and regional media outlets have said
they fear renewed anti-press legislation.
As you know, the Tanzanian government is one of five
African nations that signed
on to your Open Government
Partnership Initiative, a multilateral effort to promote transparency. Tanzania
cannot uphold its obligation given the current media climate of threats against
the press and existing restrictive legislation. Economic development that
benefits Tanzanian citizens can only occur in a system in which officials are
held accountable by a free and vibrant press.
Tanzanian journalists are working in a highly
restrictive media environment and are being attacked with impunity. We ask that
you urge President Kikwete to promote media freedom in the country, without
which vibrant democracy and economic development cannot exist.
Sincerely,
Joel Simon
Executive Director
Executive Director
CC List:
H.E. Jakaya Kikwete, President of Tanzania
H.E. Mwanaidi S. Maajar, Ambassador of Tanzania to the United States of America
H.E. Alfonso E. Lenhardt, Ambassador of the United States of America to the Republic of Tanzania
Filiberto Ceriani Sebregondi, Head of the Delegation of European Union to the Republic of Tanzania
John Kerry, Secretary of State for the United States of America
Linda Thomas-Greenfield, Assistant Secretary for African Affairs for the United States of America
Dr. Fenella Mukandara, Minister of Information of the Republic of Tanzania
Pansy Tlakula, Special Rapporteur on Freedom of Expression and Access to Information, African Commission on Human and Peoples' Rights
Reginald Mengi, Chairman of the Media Association of Tanzania
Dr. Jeffrey Ashley, USAID / East Africa Mission Director
Kajubi Mukajanga, Executive Secretary of the Media Council of Tanzania
Mohamed Tibanyendera, Chairman of the Media Institute of Southern Africa, Tanzania
Ernest Sungura, Executive Director of the Tanzania Media Fund