Monday, December 31, 2012

ANGALIA PICHA 10 ZA MASTAA,WASANII, PRODUCRS NA DJS WALIOPATA WATOTO MWAKA HUU 2012


Raque wa I-View mepata mtoto wa kike mwaka huu


Dogo amidu pia amepata mtoto wa kiume na kumuita Herry jina la rafiki yake Blue


Afande sele alipata mtoto wa kike na kumuita Asantesana


Mtoto wa ROMA anaitwa Ivan


Mtoto wa DJ Choka anaitwa Harrison
Mtoto wa Blue anaitwa Herry akiwa na mama yake


Kylnn pia alibahatika kupata watoto mapacha mwaka huu





Barnaba pia amebahatika kumpata Stive katika mwaka huu


AT pia amebahatika kupata mtoto wa kike mwaka huu


Shetta pia amepata bahati ya kumpata Qayllah


Ney wa Mitego pia amepata mtoto wa kiume mwaka huu


Sugu amepata mtoto wa kike mwaka huu na kumuita Sasha


Mtoto wa Sugu


P-Funk majani amepata mtoto wa kike anaitwa Pavin


Mtoto wa muimbaji Pipi anaitwa Kingstone


Mdogo wake Profesa Jay, Simple X pia amepata mtoto wa kike anaitwa michele

        

No comments:

Post a Comment