Wadau habari ya mike tyson kubadilisha jinsia baada ya uchunguzi wa kina kwa msaada wa vyombo mbalimbali vya kimataifa kumbe taarifa hizi zilizagaa tu kwenye magazeti na blogs mbalimbali za afrika tu
Africa papers carry Mike Tyson 'sex change' spoof
Several
online newspapers in Africa have published a spoof story about former
heavyweight boxing champion Mike Tyson having a sex change.
The article first appeared on the UK satirical website, NewsBiscuit, at the end of November.It was then published by Zimbabwe's Standard on Sunday and picked up by the SpyGhana news website on Tuesday.
NewsBiscuit said their site kept crashing on Wednesday because of increased hits from Africa.
"We've had half as many visitors from Africa in the last few days as we'd expect generally in a whole month," comic writer John O'Farrell from NewsBiscuit told the BBC.
He said the story had been viewed more than 50,000 times in the last few days, about 20 times more than is usual.
The spoof article said that the boxer would now be known as Michelle and was feeling fine after undergoing a 16-hour operation.
Versions of the story have appeared in the sport sections of the Standard and SpyGhana.
An online search also shows that the Zambian news website Zambia Watchdog carried the story on Monday, with the headline "Mike Tyson sex change operation 'a complete success', say surgeons", but the link now says the page cannot be displayed.
Mr O'Farrell says the story was initially posted on NewsBiscuit's writers' board - the website team then put a photo on it and added it to their front page on 30 November.
It is not the first time a NewsBiscuit article has been taken seriously in Africa, he says.
In 2007, a story about Ghana's former President, John Kufuor, failing to notice the flags lining his route to Buckingham Palace during a visit to the UK caused outrage in the Ghanaian press, he said.
Last month, the online version of the Chinese Communist Party's official newspaper also appeared to fall for a spoof story by the US satirical website, The Onion.
The People's Daily ran a 55-page photo spread of North Korean leader Kim Jong-un after he was declared The Onion's Sexiest Man Alive for 2012.
SOURCE;BBC.COM
Sherehe ya kumuaga balozi wa Tanzania Berlin Ujerumani
Mh Zitto akutana na Waziri wa Maendeleo ya kiuchumi wa Ujerumani
The 10 dirtiest cities in America - FORBES
MANDHARI YA MIZUNGOKO YA KUSHOTO (KEEP LEFT) KATIKA BAADHI YA MITAA YA JIJI LA DAR ES SALAAM
WAANDISHI WA HABARI ZA MAZINGIRA TANZANIA (JET) WAPEWA MWANGA YALIYOJIRI MKUTANO WA TABIANCHI DOHA.
Afisa Habari wa ngazi ya kimataifa Kitengo cha Habari cha Umoja wa
Mataifa (UNIC) Bi Stella Vuzo akiwakaribisha waandishi wa chama cha
habari za Mazingira Tanzania (JET) na kuwatambulisha wazungumzaji katika
mkutano wa taarifa fupi katika kuwapa mwanga kuhusu yatokanayo na
taarifa ya mabadiliko ya tabianchi uliofanyika Doha. Katikati ni Mtaalam
wa Mazingira wa UNDP Bw. Amani Ngusaro na kushoto Mkurugenzi Msaidizi
wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi. Mkutano
huu uliowakutanisha pamoja waandishi wa habari za Mazingira Tanzania
(JET) umeratibiwa na Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa nchini
(UNIC) uliofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo.
Mtaalam
wa Mazingira wa UNDP Bw. Amani Ngusaro akielezea kwa ufupi jinsi Umoja
wa Mataifa unavyoshirikiana na Serikali ya Tanzania katika kupambana na
mabadiliko ya Tabianchi na kufafanua Mpango wa Kupunguza Uzalishaji wa
Hewa ya Ukaa kutokana na Ukataji miti ovyo na Uharibifu wa Misitu kwa
nchi zinazoendelea (MKUHUMI) unaotekelezwa na Umoja wa Mataifa UN-REDD.
Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard
Muyungi akizungumzia yatokanayo mkutano wa mabadiliko ya tabianchi
ikiwemo swala la Gesi joto ambapo amesema kwa nchi kama Tanzania
haichafui mazingira kulinganisha na nchi zinazoendelea zenye viwanda
vikubwa pamoja na makubaliano waliyofikikia katika mkutano huo ambayo
yatatolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira hivi
karibuni.
Mmoja
wa waandishi wa habari Bi. Judica Laswai kutoka TBC akieleza namna
alivyoweza kupata nafasi ya kuhudhuria mkutano wa mabadiliko ya
tabianchini uliofanyika Doha hivi karibuni kwa kushiriki mashindano ya
kuaanda vipindi vya mazingira na mwishowe kushinda safari iliyodhaminiwa
ni Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa Tanzania (UNIC) ambapo
amewahimiza wanahabari wenzake kutumia fursa za mitandao ya kijamii.
Pichani
Juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari za Mazingira (JET)
wakiuliza maswali na kutoa maoni kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira
Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi (hayupo pichani).
Pichani Juu na Chini ni baadhi ya waandishi wa habari wa Mazingira (JET) waliohudhuria mkutano huo.
Afisa
habari Ngazi ya Taifa wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC)
Bi. Usia Nkhoma akitoa changamoto kwa waandishi wa habari wa mazingira
kuzipa kipaumbele habari za mazingira na kuwataka kuweka usawa katika
habari wanazoandika.
No comments:
Post a Comment