Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa
Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa
wakuu wa nchi za Afrika.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe
Saidi Mecky Sadik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012
akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi
za Afrika.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik baada ya
kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa
Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa
wakuu wa nchi za Afrika.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe
Sophia Mjema. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Jordan
Rugimbana na wa tatu toka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymond
Mushi. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal katika uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai 16, 2012
akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi
za Afrika.
PICHA/IKULU
No comments:
Post a Comment