Sunday, November 18, 2012

AUNTY EZEKIEL, MUMEWE NA BONGO MOVIE, WAALIKWA LUNCH NYUMBANI KWA BI SALMA MGIDO HUKO DUBAI


Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte wakiwa katika pose nyumbani kwa Salma Mgido mapema leo kwaajili ya chakula cha mchana
Aunty akiwa amepakata mtoto Seif wa da Katija Mashallah
 Kitu cha ndafu na madiko diko kibao
 Rahma Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio
 Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo
Bi Salma Mgido (mwenye pink) akiweka mambo sawa
 Mr & Mrs Demonte wakipata msosi
 Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo
 Cloud katika picha ya pamoja na Janja
Cloud na Janja wakibadilishana mawazo
 Ray katika pose na shabiki wake
 Le Familia Mashallah
 JB katika pose
 Katija, mumewe aka muarabu na mkewe na Ray katika pose

 Mumewe Katija, wanae na Sunita pia walikuwepo
Bi Salma mama wa shughuli......
EXCLUSIVE: RAYUU APATA DILI LA KUIGIZA MOVIE YA NGONO KWA MADIBA

Posted on 17 November 2012
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko Afrika Kusini ambayo inashirikisha nyota kibao wa ndani ya Afrika.

Inadaiwa kuwa msanii huyo ameonekana na watu hao baada picha zake kadhaa kuzagaa kwenye mtandao ndipo wapoliamua kumtumia ujumbe kwa njia ya mtandao, na kama atakubali basi atakula mshiko ambao hajawahi kuukamata tangu alipodhaliwa.

Chanzo kikubwa cha kuaminika kilichofanya upekuzi huo, kilibaini ukweli kwamba msanii huyo anachati na watu hao lakini hajawaweka wazi kama ataweza kufanya ishu hiyo ambayo itambidi asafiri.

Mpekuzi huyo alitumia muda wa saa kadhaa kukaa na msanii huyo na kumdadisi lakini hakupewa chochote na inadaiwa kuwa ishu hiyo ipo na watu wanamtaka kutokana na uzuri wake, pia wameona ni mtu ambaye hana aibu baada ya kuziona baadhi ya tattoo kwenye makalio yake.

“Inadaiwa kuwa jamaa walichokipenda kwanza ni msanii pia hana aibu kwani aliweza kuchora tatoo, lakini sijui kama msanii huyo amewajibu kwani habari nilizonazo tena nimeona kupitia macho yangu ni hizo, asa sijui ni watu wanamzingua au vipi,” alisema mpekuzi huyo.

Hata hivyo alipotafuwa Rayuu kuulizwa juu ya ishu hiyo alibaki kuchecheka na hakuna chochote alichozungumza zaidi ya kudai kuwa kuna watu wamemtumia mail ya kumtaka akacheze picha hizo kwa dau kubwa lakini hajawajibu kwani anahisi wanataka kumuharibia mipango yake ya maisha kwa madai hiyo kitu ambayo hawezi kufanya katika maisha yake.

No comments:

Post a Comment