Maonesho ya Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kuanza Tarehe 13.05.2013 hadi 18.05.2013 Mkoani Dodoma.
Afisa
Uhusiano Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA) Sarah Kibonde Msika akitoa neno la ukaribisho kwenye
mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam ili
kutoa taarifa ya wiki ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe
13 hadi 18 Mei mwaka huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini
Dodoma.
Afisa
Mahusiano wa PSPF Fatma Eliharid kifuatilia mkutano kuhusiana na wiki
ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka
huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Irene Isaka akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na wiki
ya maonyesho ya hifadhi hiyo yatakayoanza tarehe 13 hadi 18 Mei mwaka
huu katika viwanja vya Nyerere Squere mjini Dodoma na kusititiza
wananchi wajitokeze kwa wingi.
Mkutano ukiwa Unaendelea
Tiketi za sherehe za kuadhimisha miaka 13 ya muziki wa Lady Jaydee zimeshaanza kuuzwa mtaani
Tiketi za sherehe za kuadhimisha
miaka 13 ya muziki wa Lady Jaydee zimeshaanza kuuzwa mtaani na huo hapo
juu na chini ndio mfano wa jinsi zilivyo ambapo ya juu ni ile ya VIP
itakayokuwezesha kupata chakula, nakala ya CD pamoja na huduma maalum ya
kinywaji cha kuanzia
Hii hapa chini ni ya kawaida
itakayokuwezesha kushiriki onesho, na kushuhudia burudani lukuki
zitakazoongizwa na Profesa Jay, TID, Matonya, Grace Matata pamoja na
Lady Jaydee mwenyewe na Machozi Band itaonekana jukwaani live siku hiyo.
Tiketi zinapatikaka Shear
Illusions-Mlimani City, BM BarberShops-Kinondoni, City Sports
Lounge-City Centre, American Nails-Kinondoni, Nyumbani Lounge-Tranic
Plaza, na katika Bar za Samaki samaki
No comments:
Post a Comment