Miss
Utalii Tanzania, tofauti na mashndano mengine ya urembo, ni zaidi ya
shindano la urembo, kwani linalenga katika kutangaza na kuhamasisha
Utalii,Utamaduni, Mianya ya Uwekezaji,Elimu,Afya ya Jamii,Utalii wa
ndani,Utalii wa kitamaduni,Utalii wa Michezo na Utalii wa Mikitano
Kitaifa na kimataifa. Shindano hili pia linahamasisha vita dhidi ya
Umasikini,Iharibifu wa mazingira,uwindaji haramu,Uvuvi
Haramu,Ujinga,Maradhi, Tamaduni kongwe na Potofu. Miss Utalii Tanzania
pamoja na uchanga wake, tangu kuanzishwa kwake mwaka 2005, ni shindano
lenye mafanikio makubwa kuliko shindano jingine lolote nchini kitaifa na
kimataifa kwani pamoja na kuipa heshima Tanzania ya kuwa wenyeji wa
shindano la Dunia la Miss Tourism World 2006, shindano hili ndilo lililo
andika historia ya Tanzania kutwaa taji la kwanza la Dunia kabla na
baada ya uhuru, pale tulipo twaa taji la Miss Tourism World 2006, pia
shindano hili ndilo pekee nchini linashikilia rekodi ya kutwaa mataji ya
dunia katika kila shindano tulilo shiriki,tumetwaa mataji 6 ya dunia
tangu 2005. Kutokana na mafanikio haya , Tumepewa heshima ya kuaandaa
shindano la Dunia la Miss Umoja wa Mataifa mwaka 2013 hapa Tanzania. Ni
shindano pekee nchini ambalo washiriki wake hawavai mavazi ya kuogelea,
bali mavazi ya heshima yasiyo mdhalilisha mvaaji wala mtazamaji na
yaliyo buniwa na kushonwa kwa malighafi za tanzania tu.Link yetu ni : http://www. misstourismorganisation. blogspot.com
Facebook Page: https://www.facebook.com/ MissUtaliiTanzania
E-Mail: missutaliitanzania@gmail.com
Asanteni sana.
Miss Tourism Organisation Tanzania.
Facebook Page: https://www.facebook.com/
E-Mail: missutaliitanzania@gmail.com
Asanteni sana.
Miss Tourism Organisation Tanzania.
Deidre Lorenz AMKABIDHI PICHA YA GROUND ZERO RAISI WA MT KILIMANJARO 1991 MARATHON
Deidre Lorenz akimkabidhi picha ya Ground Zero (New York) Rais wa Mt.
Kili Marathon 1991 Onesmo Ngowi baada ya kukimbia mbio hizo
Deidre Lorenz akiwa anahojiwa na waandishi wa Habari mjini Moshi
No comments:
Post a Comment