Tuesday, June 19, 2012

Mnyika Afukuzwa Bungeni



Anapochangia amekataa kufuta maneno kuwa rais Kikwete ni dhaifu,Bunge ni zembe na Upuuzi wa CCM ndivyo vimechangia mambo kuwa mabaya hivi.

Sensa Ya Watu Na Makazi 2012 ( Mwakumbuka Kituko Cha Ngoswe Penzi Kitovu Cha Uzembe)?



Nikisa cha Kijana Ngoswe mtanashati(Shalobaro) ambaye alitumwa na serikali kama afisa
wa kuhesabu idadi ya watu na makazi,badala yake akaamua kutozingatia kazi na kumtorosha mtoto wa Mjumbe (Mitomingi) wa nyumba kumi Mazoea. Mzee akaja juu na kuamua kuzichoma karatasi za Takwimu.

Kitabu hicho pichani ni kazi ya fasihi, lakini maadhui yake bado yana nafasi kubwa sana katika jamii yetu na hasa katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye zoezi hilo mhimu sana. Naomba kutoa hoja. Mjumbe kutoka Iringa.

Ofisi Ya Takwimu NBS Yaanza Mafunzo Ya Sensa



Baadhi ya wakufunzi wa Sensa kwa ngazi ya Kitaifa wakijifunza jinsi ya kutambua maeneo mbalimbali ya sensa za watu na makazi kwa kutumia ramani wakati wa mafunzo ya siku 10. 


 Mafunzo hayo yanaendeshwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) yalianza jana mjini Dodoma.Picha na tiganya vincent- Dodoma.
Kutoka Michuzi Blog. issamichuzi.blogspot.com


TLP Bado Ni Jogoo


Makao makuu ya taifa ya TLP Dar es salaam Magomeni

No comments:

Post a Comment