WAZIRI WA HABARI AZUNGUMZA NA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO WA SERIKALI LEO JIJINI MWANZA
Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo jijini Mwanza. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakikagua
mahindi shambani kwao kijijini Msoga,Chalinze,wilayani Bagamoyo wakati
wa mapumziko ya mwisho wa wiki(picha na Freddy Maro)
Iringa wajitokeza kwa wingi kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Jiunge na supa5
Msanii
nyota wa muziki wa kizazi kipya (hip hop),aitwaye Roma akiwarusha
baadhi ya Wakazi wa mji wa Iringa walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja
wa Mwembe Togwa,mjini humo na kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya
airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za
mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena
katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
Mmoja
wa wakazi wa Iringa aitwaye Theresia Mifwa akikabidhiwa simu ya
mkononi aina ya sumsung na Meneja Mahusiano wa Airtel-Tanzania,Jackson
Mmbando, mara baada ya kuichambua vyema huduma ya Jiunge na Supa5 kwa
ufasaha ,wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Jiunge na Supa5
uliyofanyika jana kwenye uwanja wa Mwembe Togwa mkoani Iringa. Airtel
Jiunge na Supa5 Ilizinduliwa kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam
hivi karibuni.Ukitaka kujiunga na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO
‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA 15548.
Wakazi
mbalimbali wa mjini Iringa wakiendelea kuhamia Airtel na kujipatia
huduma mbalimbali zilizokuwa zikipatikana wakati wa uzinduzi wa huduma
mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za
mawasiliano kupitia Airtel kwa wateja wake.
Kundi
la wasani mahiri wa muziki wa kizazi kipya,lenye maskani yake
Temeke,jijini Dar liitwalo Wanaume Halisi,likiongozwa na Sir Juma Nature
(wengine hawapo pichani),wakilishambulia jukwaa vilivyo jana jioni
mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja
wa Mwembe Togwa,mjini humo na kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya
airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za
mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea kutambulishwa tena
katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
Kundi
la wasani mahiri wa muziki wa kizazi kipya,lenya makazi yake Manzese
jijini Dar,Tip Top Connection likiongozwa na Madee,Tunda Man na wengineo
wakilishambulia jukwaa vilivyo jana jioni mbele ya umati wa wakazi wa
Iringa waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini humo
na kushuhudia uzinduzi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la
kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma
hiyo itaendelea kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye
jijini Mwanza.
Sehemu
ya umati wa wakazi wa Iringa uliofurika jana kwenye uwanja wa Mwembe
Togwa wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye
lengo la kutoa huduma tano nafuu za huduma za mawasiliano kupitia
Airtel.Aidha huduma hiyo itatambulishwa tena hivi karibuni katika mkoa
wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.Airtel Jiunge na Supa 5 Ilizinduliwa
kwa mara ya kwanza jijini Dar es Salaam hivi karibuni.Ukitaka kujiunga
na huduma hiyo ANDIKA SMS YENYE NENO ‘WIKI’ AU WIKI UTUME KWENDA
15548.
Wasanii
chipukizi wa muziki wa bongofleva,waitwao Wavuka Boda wakilishambulia
jukwaa mbele ya umati wa wakazi wa Iringa waliojitokeza kwa wingi jana
jioni kwenye uwanja wa Mwembe Togwa,mjini humo wakati wa uzinduzi rasmi
wa huduma mpya ya airtel Supa5 yenye lengo la kutoa huduma tano nafuu
za huduma za mawasiliano kupitia Airtel.huduma hiyo itaendelea
kutambulishwa tena katika mkoa wa Arusha na baadaye jijini Mwanza.
NEW SINGLE '' LET YOU GO'' FROM ELIUD KAWALA AKA EKA FROM UDOM
Sikiliza Nyimbo yake Mpya Hapa
Singer: Eliud kawala a.k.a EKA
Song: Let you go
Producer: Patrino
Studio: B1 record dodoma
Mixing: KID
This is ma first track for ma fans
and am on ma way to give you the best of music you deserve. I count on
your support as am preparing my first album titled "MOYO". This song
will be accompanied with a video that will be released soon the next
month. Music for life. You can send me your comments through my facebook
account "Eliud Kawala" and ma mobile phone number 0759385936 or follow
me on twitter @eka
PICHA ZA NYUMBA MPYA YA WEMA SEPETU
Wema akiwa na Zamaradi
kutoka Clouds TV
Wema, Snura & Zamaradi
Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya
nyuma ya Wema.
Gari yake ya kwanza ilikuwa
hii
Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda
Hapa
ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama.
No comments:
Post a Comment