Mtoto Mchanga akutwa ametupwa akiwa amefariki karibu na Msikiti wa Soweto jijini Mbeya Asubuhi hii
Mwili wa Marehemu Mtoto mchanga ambaye hayafahamika mama yake amekutwa ametupwa karibu na Msikiti wa Soweto Mbeya Asubuhi hii.
JAMANI TUBADILI TABIA TUWE NA ROHO ZA KIBINADAMU UNYAMA WA NAMNA HII HAUFAI KABISAAA!!
No comments:
Post a Comment